Jay-Z apata zaidi ya wafuasi 1M Instagram ndani ya saa mbili

0
3364

Mwanamuziki kutoka Marekani Rapa @jayz ameamua kujiunga rasmi na mtandao wa Instagram.

Hadi sasa ukurasa wa @jayz umefanikiwa kupata Followers milioni moja ndani ya saa mbili.

Katika account hiyo Jay-Z amemfollow mke wake @beyonce tu.