Cristiano Ronaldo na Georgina watarajia Mapacha

0
383

Mshambuliaji wa Manchester United, Cristiano Ronaldo kupitia ukurasa wale wa Instagram wenye wafuwasi milioni 360 ameweka hadharani kuwa yeye na mpenzi wake Georgina Rodríguez wanatarajia kupata watoto mapacha.

Katika ukurasa wake wa Instagram ameandika “Delighted to announce we are expecting twins👶🏻👶🏻. Our hearts are full of love – we can’t wait to meet you ❤️🏠 “

“Ikimaanisha Tunayo furaha kuwatangazia tunatarajia mapacha, mioyo yetu imejaa upendo- hutuwezi kungoja kukutana nanyi (mapacha).” @cristiano

tbcmichezo #tbcsports #tbc1 #tanzania #aridhio #Georgina #CristianoRonaldo