ZIARA YA DKT. MWINYI PEMBA

0
89

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi anaendelea na ziara yake kisiwani Pemba, ambapo akiwa katika kijiji cha Mleteni ameahidi kutoa fedha kusaidia shule ya maandalizi katika kijiji hicho pamoja na kituo cha afya katika kijiji jirani cha Kisiwani.