Jenerali Mabeyo aanza ziara Rwanda

0
288

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo, ameanza ziara ya kikazi nchini Rwanda, lengo likiwa ni kuimarisha ushirikiano wa muda mrefu kati ya mataifa hayo.

Ziara hiyo ya Jenerali Mabeyo itahitimishwa tarehe 26 mwezi huu.