Mikato ya suti za Jokate Mwegelo

0
3137

Suti ni seti ya nguo zinazojumuisha koti la suti na suruali, mara nyingi huwa ni nguo inayofanana, na iliyovaliwa na shati la vazi iliyochanganywa, tai, na viatu vikali.

Leo tunakuletea Mkuu wa Wilaya ya Temeke,Jokate Mwegelo akiwa na mikato mbali mbali ya suti.

Jokate Mwegelo amedamshI na suti za kijadi ambazo zinazingatia kuvaa rasmi lakini pia mara nyingi ametokelezea na suti ambazo zimetengenezwa katika muundo tofauti ya ushonaji kama matumizi ya vifungo na umaridadi wa kola zake.

Vilevile Jokate anapendeza sana na suti ambazo zina ‘swaga’ tofauti na matumizi ya vitambaa vyenye nakshi tofauti tofauti.

Unampa maksi ngapi?