Kimataifa WAZIRI MKUU AFANYA MAZUNGUMZO RABAT By TBC - July 13, 2021 0 206 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye anaendelea na ziara yake nchini Morocco, leo amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo jijini Rabat.