Kisa cha ng’ombe aliyegeuka jiwe wakati akichinjwa

0
624

Unafahamu kisa cha ng’ombe anayedaiwa kugeuka jiwe wakati anachinjwa?

Fuatana na Mwandishi wa TBC, Joachim Kapembe akisimulia kisa hicho kilichotokea katika kijiji cha Kwamasaka wilayani Handeni mkoani Tanga.