Kitaifa KIAPO By Hamis Hollela - June 21, 2021 0 127 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Gabriel Zakaria akila kiapo kuwa mkuu wa wilaya ya Busega mkoani Simiyu, baada ya kuteuliwa hivi karibuni na Rais Samia Suluhu Hassan kushika wadhifa huo. Gabriel Zakaria amewahi kuwa Mwandishi na Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC).