Simba vs Yanga kupigwa saa moja jioni

0
246

Mchezo wa Simba SC dhidi ya Yanga SC uliokuwa uchezwe leo Mei 8, 2021 kuanzia saa 11:00 jioni umesogweza mbele hadi saa 1:00 jioni.

Kwa mujibu wa taarifa ya TFF, imeeleza kuwa imepokea mabadiliko ya muda wa kuanza kwa mchezo hio kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.

Tayari timu husika zimepewa taarifa ya mabadiliko hayo kupitia Bodi ya Ligi Kuu Tanzania