CCM yapata Mwenyekiti Mpya

0
147

Rais Samia Suluhu Hassan ameshinda kwa kishindo Uenyekiti CCM mara baada ya kupata kura za ndio 1862 ikiwa ni kura zote za wajumbe waliopiga kura katika mkutano huo

Mkutano mkuu maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) unaofanyika jijini Dodoma, umemchagua Rais Samia Suluhu Hassan kuwa Mwenyekiti mpya wa CCM Taifa