Mashindano ya kuhifadhi Qur’an tukufu

0
143

Waumini wa dini ya Kiislamu wakiwa katika uwanja wa Mkapa mkoani Dar es salaam, yanapofanyika mashindano makubwa ya kuhifadhi Qur’an Tukufu.

Mgeni rasmi katika mashindano hayo yanayoshirikisha nchi 21 kutoka Barani Afrika ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi