Balozi Kattanga ala kiapo

0
148

Rais Samia Suluhu Hassan amemuapisha Balozi Hussein Kattanga kuwa Katibu Mkuu Kiongozi kufuatia uteuzi alioufanya hapo jana.
 
Hafla ya kumuapisha Balozi Kattanga imefanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.
 
Baada ya kiapo hicho, Balozi Kattanga pia amekula kiapo cha Maadili kwa Viongozi.