Bibi yake Obama afariki

0
203

Bibi wa aliyekuwa Rais wa Marekani, Barack Obama, Sarah Onyango Obama amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 99.

Sarah Onyango Obama amefariki dunia katika hospitali ya Jaramogi Oginga Odinga iliyopo nchini Kenya, alipokuwa akipatiwa matibabu.