Yanga yapeta mbele ya Ken Gold

0
164

Yanga imesonga mbele na kuingia raundi ya 5 katika michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC)

Yanga imesonga mbele baada ya kupata ushindi wa bao 1 kwa bila dhidi ya timu ya Ken Gold ya mkoani Mbeya

Bao pekee la Yanga limefungwa na Fiston Abdoulrazak dakika ya 42 kipindi cha kwanza kwa mkwaju wa penati

Katika mechi nyengine iliyopigwa mapema katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Polisi Tanzania imeitandika Kwamndolwa FC mabao 4 kwa bila.