Mwanamuziki wa kizazi kipya Ilunga Khalifa maarufu kama C PWAA, CP, ama The King of BongoCrunk amefariki dunia leo alfajiri katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam.
C PWAA alipelekwa hospitalini hapo kupatiwa matibabu zaidi baada ya kuzidiwa ghafla.
Wimbo wa C Pwaa – Problem
Msiba wa C PWAA upo Magomeni Mikumi, na anatarajiwa kuzikwa leo saa 10 alasiri.