Hali ya upatikanaji wa mafuta ya kupikia kutengemaa siku chache zijazo

0
147

Waziri wa Viwanda na Biashara Geoffrey Mwambe amewahakikishia Watanzania kuwa hali ya upatikanaji wa mafuta ya kupikia itatengemaa mara baada ya kuanza upakuaji wa mafuta ya kula yanayoingizwa nchini  kutoka nje ya nchi kupitia bandari ya Dar es salaam.