Rais Dkt John Magufuli akipeana mkono na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Mwinyi baada ya Dkt Mwinyi kuapishwa kuwa Mjumbe wa Baraza la Mawaziri  la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Desemba 16, 2020.

0
234