Kiduku apata pigo kabla ya pambano lake

0
199

Bondia wa ngumi za kulipwa nchini Twaha Kassim maarufu kwa jina la Twaha Kiduku amepata pigo baada ya kufiwa na baba yake mzazi Mzee Kassim Rubaha, aliyekuwa akisumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu

Bondia Kiduku anatarajiwa kupanda ulingoni Desemba 26 mwaka huu kupigana na bondia Guy Tshimanga kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), pambano litakalofanyika jijini Dar es salaam.