MILIONI 700 ZA MBAKISHA CHAMA SIMBA SC

0
189

“Nimpongeze Mwenyekiti wetu wa Bodi, Mohammed Dewji. Mimi natoa 10,000 kwa mke wangu Mama Seif na nikikuta kisamvu napiga kelele nyumba nzima, sembuse yeye aliyetoa [shilingi] milioni 700 kum’bakisha mchezaji [Clatous Chama] ndani ya klabu ya Simba, kwa kweli nampongeza sana.”- Mwina Kaduguda