- Idrissa Kitwana Mustafa, ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi.
- Ayoub Mohammed Mahmoud, ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja.
- Rashid Hadid Rashid, ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja.
- Salama Mbarouk Khatib, ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba.
- Mattar Zahor Masoud, ameteuliwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba.
Uteuzi huo umeanza leo Jumanne, Disemba 01, 2020.