Tamasha la TBC – WASTUE WANA

0
238

Wakazi wa Mbagala wameiomba serikali kuongeza fursa na kujenga viwanja vya michezo na burudani kwa vijana na watoto ili kuweza kuibua vipaji vingi nchini

Wakizungumza na watangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania kupitia vituo vyake vya TBC fm na TBC 2 wananchi hao waliojitokeza kwenye Tamasha la Sasambu Mtaani lililoandaliwa na TBC Fm, TBC 2 kushirikiana na Mpango wa Damu Salama Tanzania, Cocacola, pamoja na Glory Pad ambao wamedhamini ili kupeleka burudani ya muziki nje ya studio na kufanya vipindi mtaani

Tamasha hilo limefanyika katika uwanja wa mnyani mbagala jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na wasanii mbalimbali huku wananchi wakipata nafasi yakushiriki kwenye michezo