Mashairi ya wimbo Number One- Rayvanny Ft. Zuchu

0
383

Macho yalikuona, moyo ukakuchagua
Mdomo ukasema nakupenda aah
Mwambie umepona alokutesa moyo kusumbua
Maumivu yamekwenda aaaa

Mi ni zawadi nilopewa
Hajui nipepese wapi
Mi kipofu kwako sioni
Penzi limetaratadi, napepewa
Harufu ya marashi rashi
Nikitouch touch shingoni
iiissss

Uvae baibui kanga
Viatu vya kuchuchumia kangaroo
Kisima tui tanga We huba nifukizia pambe tu
Ukizungushia shanga
Inashuka inapanda chini juu
Nishatafuna karanga
Sasa chumba ndo kiwanda watoto tu (Iyee iyee)

My number one, you’re my number one
My number one, you’re my only one
My number one, you’re my number one
My number one, you’re my only one

Zuchu
Lalala, la la la
La- la-la mmmh
Hausukumi damu moyo
Unasukuma upendo wangu
Niko mahabani Mombasa
Saaa…

Penzi nalimung’unya kibogoyo
Nimepata size yangu
Yaani nalioga sio kunawa
Nawaa…
Filimbi nitapuliza
Kuita ndege waje
Raha zimefululiza
Kwako natokaje?
Hadi bububu umepitiliza
Tuko kwa bibi paje
Taratibu unaniliza baba

Tulivuruge varanga
Chimeneza kunengea kwangaru
Nikiandae kitanda
Shuka za maua ua ya marooon
Kisha tugonge na venta
Mambo ya kujizingua na varu
Nifunge upande kanga
Hapo Juma we kwarua kwa kwaru

Ooh baby you are my…
My number one, you’re my number one
My one and only..
My number one, you’re my only one
Baby my (Baby my)
My number one, you’re my number one
My number one, you’re my only one
Penzi limetaratadi, napepewa
Harufu ya marashi rashi
Nikitouch touch shingoni

Wasafiiiiii