Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Magufulia amesema kuwa hakumfukuza ukuu wa mkoa, Mrisho Gambo, lakini alitengua uteuzi wake kwa sababu mwanasiasa huyo aliomba kugombea ubunge.
Akizungumza leo mkoani Arusha katika mwendelezo wa kampeni zake, Dkt. Magufulia amesema kuwa Gambo amefanya kazi kubwa mkoani humo na anampenda ndiyo maana amemrudisha kugombea ubunge.
Msikilize hapa Dkt. Magufuli akizungumza;