Kimataifa Donald Trump arejea ikulu By Judith Ene Laizer - October 6, 2020 0 274 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Rais wa Marekani, Donald Trump ameruhusiwa kutoka hospitali ya kijeshi ya Walter Reed ambapo alikuwa anapatiwa matibabu ya corona kwa siku tatu na kurejea Ikulu. Trump anatarajiwa kubaki Ikulu kwa muda na hatoruhusiwa kujichanganya na watu.