Video: Diamond akimueleza Dkt. Magufuli alivyomtoa Harmonize

0
795

Mwanamuziki Diamond Platnumz amesema kuwa katika miaka mitano ya uongozi wa Rais Dkt. Magufuli ameweza kufanya mambo mengi ikiwa ni pamoja na kuwasaidia vijana wenzake, Harmonize na Rayvanny pamoja na kufungua kituo cha redio na televisheni.

Diamond amesema hayo leo wakati akitumbuiza kwenye mkutano wa kampeni wa chama hicho mkoani Mbeya.

Msikilize msanii huyo akizungumza mbele ya mgombea wa CCM, Dkt. Magufuli;