WALIOTEULIWA KUGOMBEA UBUNGE KWA TIKETI YA CCM

0
385

1. ARUSHA
Arusha Mjini- Mrisho Gambo
Arumeru Magharibi- Noah Molel
Arumeru Mashariki- John Pallangyo
Karatu- Daniel Tlemai
Longido- Stephen Kirusya
Monduli- Fred Lowassa
Ngorongoro- Ole Nasha

2. DAR ES SALAAM
Ubungo- Prof Kitila Mkumbo
Kibamba- Issa Mtemvu
Kinondoni- Abass Tarimba
Kawe- Askofu Josephat Gwajima
Kigamboni- Dkt. Faustine Ndugulile
Ilala- Mussa Zungu
Segerea- Bonna Kamoli
Ukonga- Jerry Slaa
Temeke- Doroth Kilave
Mbagala- Abdallah Chaurembo

3. DODOMA
Bahi- Keneth Nolo
Chamwino- Deo Dejembi
Mvumi- Livingstone Lusinde
Chemba- Mohammed Moni
Dodoma Mjini- Anthony Mavunde
Kongwa- Job Ndugai
Kondoa Mjini- Ally Juma Makoa
Kondoa Vijijini- Dkt. Ashatu Kijaji
Kibakwe- George Simbachawene
Mpwapwa- George Malima

4. GEITA
Busanda- Tumaini Magesa
Geita Mjini- Consatantine Kanyasu
Geita Vijijini- Joseph Kasheku (Musukuma)
Bukombe- Dotto Biteko
Chato- Medard Kalemani
Mbogwe- Nicodemas Maganga
Nyang’alwe- Hussein Amar

5. IRINGA
Iringa Mjini- Jesca Msavatavangu
Kalenga- Jackson Kiswaga
Isimani- William Lukuvi
Kilolo- Lazaro Nyamoga
Mafinga Mjini- Cosato Chumi
Mufindi Kaskazini- Exaud Kigahe
Mufindi Kusini- David Kihenzile

6. KAGERA
Bukoba Mjini- Stephen Byabato
Bukoba Vijijini- Jackson Rweikiza
Nkenge- Frolent Kyombo
Karagwe- Innocent Bashungwa
Kyerwa- Innocent Bilakwate
Ngara- Ndaisaba Luhoro
Bihalamuro- Ezra Chiwelesa
Muleba Kaskazini- Charls Mwijage
Muleba Kusini- Oscar Kikoyo

7. KATAVI
Mlele- Isack Kamwele
Kavuu- Geophrei Pinda
Mpanda Mjini- Sebastian Kapufi
Nsimbo- Anna Lupembe
Mpanda Vijijini- Moshi Kakoso

8. KIGOMA
Kasuli Mjini- Prof Joyce Ndalichako
Manyovu- Dkt. Philip Mpango
Buyungu- Aloyce Kamamba
Muhambwe- Atashasta Nditiye
Kigoma Mjini- Kirumbe Ng’enda
Kigoma Kaskazini- Asa Makanika
Kigoma Kusini- Nashon William
Kasulu Vijijini- Augustine Hole

9. KILIMANJARO
Vunjo- Charles Kimei
Siha- Dkt. Godwin Mollel
Moshi Vijijini- Prof. Patrick Ndakidemi
Hai- Salasisha Mafue
Same Mashariki- Anne  Malecela
Same Magharibi- Dkt. Mathayo Mathayo
Rombo- Prof. Adolf Mkenda
Moshi Mjini- Priscus Tarimo
Mwanga- Anania Tadayo

10. LINDI
Kilwa Kaskazini- Ndulane Franscis
Kilwa Kusini- Kasinge Ally
Liwale- Zuberi Kuchauka
Lindi Mjini- Hamida Abdallah
Mchinga- Salma Kikwete
Mtama- Nape Nnauye
Nachingwea- Amandus Chinguiye
Ruangwa- Kassim Majaliwa

11. MANYARA
Babati Mijini- Paulina Gekul
Babati Vijijini- Daniel Silo
Hanang- Samwel Kadai
Mbulu Mjini- Isai Paulo
Mbulu Vijijini- Flatei Gregory
Kiteto- Edward Kisau
Simanjiro- Christpher Ole Sendeka

12. MARA
Musoma Mjini- Vedastus Manyinyi
Musoma Vijijini- Prof. Sospeter Muhongo
Bunda Mjini- Robert Chacha Maboto
Bunda Vijijini- Boniface Getere
Mwibara- Charls Kajege
Butiama- Jumanne Sagini
Rorya- Jaffary Wambura Chege
Tarime Mjini- Mwita Michael Kembaki
Tarime Vijijini- Mwita Waitara
Serengeti- Dr. Jeresabi Mkimi

13. MBEYA
Busekelo- Atupele Mwakibete
Kyela- Ally Jumbe
Lupa- Masache Kasaka
Mbarali- Franscis Mtega
Mbeya Mjini- Dkt. Tulia Akson
Mbeya Vijijini- Oran Njeza
Rungwe- Anthony Mwantona

14. MOROGORO
Mlimba- Godwin Kunambi
Kilombero- Abubakar Asenga
Morogoro Mjini- AbdulAziz Abood
Gairo- Ahmed Shabiby
Malinyi- Antipas Mgungusi
Morogoro Kusini- Innocent Kalogeres
Morogoro Kusini Mashariki- Hamis Taletale
Mvomero- Jonas Vanzilad
Mikumi- Deniss Londo
Kilosa- Prof. Palamaganda Kabudi
Ulanga- Salim Hasham

15. MTWARA
Mtwara Mjini- Mtenga  Selemani
Mtwara Vijijini- Hawa Ghasia
Nanyamba- Abdallah Chikota
Tandahimba- Katani Katani
Newala Mjini- George Mkuchika
Newala Vijijini- Maimuna Mtanda
Masasi- Geofrey Mwambe
Lulindi- Issa Mchungahela
Ndanda- Cecil Mwambe
Nanyumbu- Yahaya Ali Mhata

16. MWANZA
Ukerewe- Joseph Mkundi
Ilemela- Dkt. Angelina Mabula
Sengerema- Tabasamu Mwagao
Buchosa- Erick Shigongo
Nyamagana- Stanslaus Mabula
Misungwi- Alexander Mnyeti
Sumve- Kasalali Mageni
Kwimba- Shanif Mansour
Magu- Bonaventura Kiswaga