Video: Hali ya maisha Msamvu, mwaka baada ya ajali ya lori la mafuta

0
439

Ni siku 365 sasa, tangu kutokea kwa ajali ya moto mkoani Morogoro ambapo lori lililokuwa na shehena ya mafuta lilipinduka na baadaye kulipuka na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 100 vilivyoacha vilio na simamzi kwa wakazi wa Manispaa ya Morogoro na Taifa kwa ujumla.