Kwa Picha: Shughuli ya kuaga mwili wa Rais Mkapa

0
319

Leo ni siku ya pili ya kuaga mwili wa Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa shughuli inayoendelea katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Viongozi mbalimbali wamejitokeza kutoa heshima za mwisho kwa kiongozi huyo aliyefariki dunia usiku wa kuamkia Julai 24, 2020.

Hapa chini ni picha mbalimbali zikionesha matukio yaliyojiri tangu mwili huo ukipelekwa uwanjani hadi sasa wanapoendelea kutoa heshima za mwisho.