Video: Mlemavu wa ngozi waliyekatwa viganja anavyojikwamua kimaisha

0
373

Wakati Dunia ikiadhimisha Siku ya Albino, Mariam Stanford aliyekatwa viganja vya mikono yake yote miwili mwaka 2008 mkoani Kagera bado anakumbuka madhila yale na kuiasa jamii kuendeleza mapambano dhidi ya haki na usawa katika jamii.

Mariam amesema licha ya tukio hilo hakukata tamaa kwani ameweza kutumia ujuzi wake wa kushona alioupata baadaye.

Fuatana na simulizi ya Sechelela Kongola aliyefika nyumbani kwa Maria;