Kituo cha washukiwa wa COVID-19 kimefunguliwa Serengeti

0
223

Waziri wa Maliasili na Utalii Hamisi Kigwangalla pamoja na Naibu Waziri wa Afya Godwin Mollel wamezindua zahanati na kituo maalum vitakavyotumiwa na watalii watakaoshukiwa kuwa na (COVID-19) katika msimu mpya wa utalii unaoanza leo Juni mosi.
Vituo hivyo vimefunguliwa wakati katika eneo la Seronera lililopo katika hifadhi ya Serengeti.