Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwavua uwanachama wabunge wake wanne ambao ni; David Silinde Mbunge wa jimbo la Momba, Wilfred Lwakatare Mbunge wa Bukoba Mjini, Anthon Komu Mbunge wa Moshi Vijijini pamoja na Joseph Selasini Mbunge wa Rombo.