Video: Teknolojia ilivyobadilisha uandishi na matumizi ya barua

0
352

Uandishi wa barua hutajwa kuwa ni kumbukumbu nzuri ambayo inaweza kudumu kwa miaka mingi  na kukumbusha hali ya furaha au uzuri katika kipindi fulani mtu alichopitia.

Lakini maendeleo ya teknolojia ya mawasiliano yameleta mabadiliko makubwa katika uandishi huu wa barua ambao mara kadhaa watu walitumia njia ya posta kutuma na kupokea barua ambapo kwa sasa haina nafasi kubwa.

Fuatana na na Florence Mavindi katika kuangazia suala hili;