Video: Sheikh wa Mkoa aufungua Msikiti wa Mtoro

0
590

Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Salim ametangaza kuwa Msikiti wa Mtoro uliofungwa siku mbili zilizopita utafunguliwa Jumatano, Mei 6, mwaka huu.

Akizungumza hayo akiwa msikitini hapo, na kubainisha kuwa licha ya kwamba alitangaza kuufunga kwa wiki mbili, lakini sasa utafunguliwa.

Awali msikiti wa huo uliopo Kariakoo ulifungwa kutokana na taharuki ya ugonjwa wa corona.