Yanga na Simba zaingiza zaidi ya milioni 500

0
964

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza kuwa watazamaji 59,325 waliingia katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam kushuhudia mchezo wa watani wa jadi, Yanga na Simba.

Kwa mujibu wa TFF, mapato yaliyotokana na mchezo huo ni shilingi (TSh) 545, 422,000.