Michezo Liverpool watolewa kombe la FA By Hamis Hollela - March 3, 2020 0 376 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Liverpool imeambulia kipigo cha mabao mawili kwa nunge dhidi ya wazee wa darajani Chelsea nakutolewa rasmi katika michuano ya kombe la FA