Matokeo Mechi za Ligi Kuu England

0
363

Manchester United wametoka sare ya bao 1 kwa 1 katika dimba la Godson Park dhidi ya Everton wakicheza ugenini katika mchezo wa ligi kuu England

Goli la kusawazisha la Manchester United limefungwa na Bruno Fernandes wakati bao la Everton likifungwa na Dominic Calvert-Lewin dakika ya 3 baada ya uzembe wa golikipa De Gea

Tottenham wametandikwa mabao 3 kwa 2 dhidi ya Wolverhampton wanderers, matokeo hadi katika kipindi cha kwanza Tottenham walikuwa wanaongoza kwa mabao 2 kwa 1

Kwa matokeo hayo Manchester United wameongeza alama moja na kufikisha 42 katika nafasi ya 5 huku Tottenham wakishika nafasi ya 7 wakiwa na alama 40