Waziri Mkuu awataka viongozi Tanga kuelekeza nguvu kwenye zao la katani

0
190

Serikali kuendelea kuboresha kilimo cha mkonge ili wananchi na wakulima waendelee kufaidi kazi wanazozifanya

Akizungumza katika ziara yake mkoani Tanga Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema serikali ya awamu ya tano imeamua kulisimamia zao la katani na kuwataka wawekezaji kulima hekari zote walizoziomba

Aidha Waziri Mkuu amewataka viongozi wa Tanga kuelekeza nguvu katika zao la katani ili kuhakikisha kilimo cha zao hilo na biashara ya katani inarudi kwenye ubora wake