Michezo Simba kuchuana na vijana wa kinondoni KMC uwanja wa Taifa By Hamis Hollela - March 1, 2020 0 310 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Simba leo watashuka dimbani dhidi ya KMC Fc katika mchezo wa ligi kuu Vodacom Tanzania Bara mchezo unaotarajiwa kuchezwa saa 2 usiku