Watford waitoboa Liverpool 3 bila

0
315

Timu za mkiani zimeamka na kupata matumaini yakubakia ligi kuu England baada ya timu inayoshika nafasi ya mwisho kabisa kuitandika Leicester City ambayo inawania nafasi 3 za juu bao moja kwa bila

West Ham United wakiitandika Southampton mabao 3 kwa moja na kusogea hadi nafasi ya 16 wakiwa na alama 27

Watford wametibua rekodi ya Liverpool yakutofungwa mchezo hata mmoja katika michezo ya ligi kuu England mara baada ya kupata ushindi mnono wa mabao 3 kwa bila dhidi ya vinara wa ligi hiyo Liverpool