Membe afukuzwa uanachama CCM

0
494

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kikao chake kilichofanyika hii leo jijini Dar es salaam, imeazimia kumfukuza uanachama Waziri wa Mambo ya Nje wa Serikali Serikali awamu wa Nne Bernard Membe.