JPM akutana na Profesa Lumumba

0
363

Rais Dkt. John Magufuli amempatia zawadi ya kinyago cha Umoja Mwamini wa Muunganiko wa Afrika kutoka Kenya Profesa Patrick Loch Otieno Lumumba ( Maarufu kama Profesa PLO Lumumba) alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Februari 24. 2020.

Rais Magufuli akimpatia zawadi ya Kinyago Profesa PLO Lumumba Ikulu Jijini Dar es salaam