Leicester walia na VAR, Man City ikishinda bao moja bila

0
405

Timu ya Manchester City imeibuka na ushindi mwembamba wa bao moja kwa bila dhidi ya Leicester City timu inayoifukuzia kwa ukaribu Manchester City katika mchezo wa Ligi Kuu England

Bao pekee la Manchester City limefungwa na Mchezaji Gabriel Jesus dakika ya 80 huku mashabiki wengi wa Leicester City wakiulalamikia mfumo VAR kwa kushindwa kutambua na kufanya maamuzi katika matukio yaliyokosa kuonekana na mwamuzi wa mchezo Paul Tierney katika dimba la King power