Dkt. Abbas akutana na Naibu Waziri Shonza

0
158

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt.Hassan Abbas leo amefanya mazungumzo katika ofisi za Wizara na kukutana na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Juliana Shonza

Katibu Mkuu wizara ya Habari Dkt Abbas akiwa na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Juliana Shonza

Na mara hii ni sehemu ya vikao vyake mara baada ya kuapishwa na Rais Magufuli na kuanza kukutana na viongozi wa Wizara hiyo