Kitaifa Zungu ateuliwa kuwa Waziri, Simbachawene amrithi Lugola By Hamis Hollela - January 23, 2020 0 258 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Rais Dkt John Magufuli amemteua Mussa Azzan Zungu kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) akichukua nafasi ya Waziri George Simbachawene ambaye ameteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Waziri wa mambo ya Ndani George Simbachawene