Kitaifa NIDA yapata Mkurugenzi Mkuu mpya By TBC - October 3, 2018 0 2006 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Rais John Magufuli amemteua Dkt Arnold Kihaule kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA). Uteuzi wa Dkt Kihaule unaanza leo Oktoba tatu. Kabla ya uteuzi huo Dkt Kihaule alikuwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU).