Walimu watatu wameuawa Mashariki mwa Kenya katika shambulio lililotokea mapema Jumatatu kwenye eneo la Kamuthe, Kaunti ya Garissa.
Haijafahamika waliohusika katika shambulio hilo lakini kundi la kigaidi la al-Shabab lipo katika eneo hilo.
Washambuliaji hao walikuwa wakilenga kituo cha polisi na mnara wa mawasiliano ya simu.
T