Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan wakipata maelezo juu ya ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mwanakwerekwe mjini Zanzibar kabla ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa shule hiyo ikiwa ni moja ya shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.