Surprise
Wakiongea usijibu chochote we baki bubu,
Uko moyoni hawajui tu,
Nafurahi umeleta amani kwenye maisha yangu,
Povu liwatoke wakaroge, nitabaki na we
Chorus
Penzi koleza, baby koleza,
Hawatuoni, wana makengeza, kengeza x2
Inabidi uniamini aee, kukuacha katu, katu,
Sijui nini na nini aee, hayo maneno ya watu, watu x2
Lelelelelele jimwa jimwa jimwage lelele x2
Maneno maneno wakikuambia, niambie,
Midomo midomo kazi yake kuongea, wapuuzie,
Nitauboresha, boresha (upendo) nitauboresha miee
(Chorus)
Penzi koleza, baby koleza,
Hawatuoni, wana makengeza, kengeza x2
Inabidi uniamini aee, kukuacha katu, katu,
Sijui nini na nini aee, hayo maneno ya watu, watu x2
Lelelelelele jimwa jimwa jimwage lelele x2
Inabidi uniamini aee, kukuacha katu, katu,
Sijui nini na nini aee, hayo maneno ya watu, watu x2
Aee lelelelelele jimwa jimwa jimwage aee lelele x2