Iran yashambulia kambi mbili za Kijeshi za Marekani

0
238

‪Iran imerusha makombora zaidi ya 10 yaliyolenga Majengo ya Marekani yaliyopo Kaskazini mwa Iraq zikiwemo Kambi za Ain al-Asad‬ na Ebil

Baada ya mashambulizi hayo Iran imeonya kufanya mashambulio zaidi iwapo Marekani itafanya shambulio jipya‬

Rais wa Marekani Donald Trump amesema hii leo atatoa kauli rasmi