14 wakamatwa Morogoro

0
120

Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linawashikilia Watu 14 kipindi kwa tuhuma za kukutwa na pembe za ndovu zenye thamani ya sh mil 137, ng’ombe 80 kondoo 52 magari mawili na silaha.

Kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro Willibroad Mutafungwa ameeleza hayo wakati akitoa taarifa ya matukio mbalimbali yaliyotokea mwishoni mwa Disemba mwaka jana hadi Januari 5 mwaka huu